Jux alivyomfanyia Surprise mpenzi wake kwenye siku ya wapenda nao

2 years ago
6

So Jana ilikuwa Valentines day na nikamuahidi Mpenzi wangu kuwa tutasafiri.

Nikamuambia ajiandae nitampitia kwake. Alivyomaliza kujiandaa nikampitia, tupo njiani nikamuambia kuwa kuna kitu nimesahau tunatakiwa kurudi nyumbani.

Alichokua hafahamu yeye ni kuwa, kuna Surprise nimemuandalia. 🎈Alivyofika nyumbani na kukuta the Surprise, kidogo azimie 😀

Happy Valentines Baby, Pole kwa mshtuko ulioupata.

Nimetumia siku ya Valentines jana kukuonesha ni namna gani nathamini uwepo na upendo wako kwangu. Wewe ni mwanamke mrembo sana, smart, muelewa na najivunia kuwa na wewe kwenye safari hii ya mapenzi.

Thinking about you makes it easy for me to write 1,000 love songs ❤️

I Love You Mi Cielito ❤️

#iloveyou

Loading comments...