KUMBUKIZI YANGA vs MWADUI: “Ile mechi tuliingia uwanjani mchezaji hajala mchana”

2 years ago

KUMBUKIZI YANGA vs MWADUI: “Ile mechi tuliingia uwanjani mchezaji hajala mchana” maneno ya aliyekuwa beki wa Mwadui FC, ambaye kwa sasa anaitumikia Dodoma Jiji FC, Joram Mgeveke akikumbushia walivyoingia kwenye mechi ya Yanga SC dhidi ya Mwadui FC, msimu uliopita.

Mechi hiyo iliyopigwa dimbani Benjamin Mkapa na ilimalizika kwa Yanga kushinda magoli 3-2.

Loading comments...