Kwa usajiri huu YANGA wanakurupuka tu.

3 years ago
2

Fatma likwata amemuuliza teacher Tigana nini malengo ya Yanga kusajili wachezaji vijana.

Tigana anasema wanakurupuka kwa sababu wanaona kijana ameshine dakika moja au mbili wanamleta kwenye timu yao. Tigana anasema hofu yake ipo kwa hao vijana kukosa nafasi.

Loading comments...