"It's such a nice day." in English, Swahili, and Thai | Weather Conversation

3 years ago
3

It's such a nice day.
Ni siku nzuri sana.
มันช่างเป็นวันที่ดีนะ

Yes, it is.
Ndiyo
ใช่ค่ะ

It looks like it may rain soon
Inaonekana mvua itanyesha hivi karibuni
ดูเหมือนว่าจะมีฝนตกในไม่ช้า

Yes, and I hope that it does.
Ndiyo, na natumaini itanyesha
ใช่และฉันหวังว่าจะเป็นเช่นนั้น

Why is that?
Kwa nini iwe hivyo?
ทำไมล่ะ?

I really love how rain clears the air.
Ninapenda sana jinsi mvua inavyosafisha hewa.
ฉันชอบให้ฝนตก

Me too. It always smells so fresh after it rains.
Mimi pia napenda iwe hivyo. Hali ya hewa inakuwa safi sana baada ya mvua.
ผมด้วยมันมีกลิ่นสดชื่นเสมอหลังจากฝนตก

Yes, but I love the night air after it rains.
Ndiyo, lakini napenda hewa ya usiku baada ya mvua.
ใช่ แต่ฉันชอบอากาศยามค่ำคืนหลังจากฝนตก

Really? Why is it?
Kweli? Kwa nini unapenda hivyo?
จริงเหรอทำไมล่ะ?

Because you can see the stars perfectly
Kwa sababu unaweza kuona nyota kikamilifu
เพราะคุณสามารถเห็นดวงดาวได้อย่างสมบูรณ์แบบ

I really hope it rains today.
Nadhani itanyesha leo
ผมหวังว่าวันนี้ฝนจะตกนะครับ

Yeah, me too.
Ndiyo.
ใช่ฉันเหมือนกัน

Loading comments...