"I wish it was a nicer day today" in English, Swahili, and Thai | Weather Conversation

3 years ago
3

I wish it was a nicer day today.
Natamani ingekuwa siku nzuri leo.
ผมหวังว่าวันนี้มันจะดีกว่าเดิม

That is true. I hope it doesn't rain.
Ni kweli. Sidhani kama haitanyesha
นั่นคือความจริงฉันหวังว่าฝนจะไม่ตก

It wouldn't rain in the middle of the summer.
Haitakiwi kunyesha katikati ya msimu wa joto
ฝนจะไม่ตกกลางฤดูร้อน

It wouldn't seem right if it started raining right now.
Haionekani kuwa sawa kama ingeanza kunyesha sasa hivi
ดูเหมือนจะไม่จริงนะคะ มันเริ่มจะตกแล้วตอนนี้

It would be weird if it started raining in ninety degree weather.
Itashangaza kama ingeanza kunyesha katika hali ya hewa ya digrii tisini
แปลกมากที่มันเริ่มจะตกทั้งที่อากาศมันเก้าสิบองศา

Any rain right now would be pointless.
Mvua yoyote sasa hivi itakuwa haina maana.
ไม่มีเหตุผลที่ฝนจะตกตอนนี้เลย

That's right, it really would be.
Ni kweli, itakuwa ya kushangaza.
จริงอย่างที่คุณว่าเลยครับ

I want it to cool down some.
Nataka inyeshe ili kuwe na baridi kidogo.
ฉันอยากให้มันเย็นลงบ้าง

I know what you mean, I can't wait until it's winter.
Najua unachomaanisha, siwezi kusubiri hadi wakati wa baridi
ผมรู้ว่าคุณรู้สึกอย่างไรผมรอให้หน้าหนาวมาถึงไม่ไหวแล้ว

Winter is great. I wish it didn't get so cold sometimes though.
Wakati wa baridi ni mzuri. Natamani isingekuwa baridi sana kama wakati mwingine.
หน้าหนาวมันยอดเยี่ยมนะคะ แต่ฉันหวังว่าบางครั้งมันจะไม่หนาวเกินไป

I would rather deal with the winter than the summer.
Ningependa kushughulika na msimu wa baridi kuliko msimu wa joto.
ผมขอฤดูหนาวดีกว่าฤดูร้อน

I feel the same way.
Ninahisi vivyo hivyo.
ฉันก็ว่างั้นแหละ

Loading comments...