"It doesn't look very nice outside today" in English, Swahili, and Thai | Weather Conversation

3 years ago
1

It doesn't look very nice outside today.
Haionekani kuwa ni siku nzuri leo.
วันนี้ข้างนอกดูไม่ดีเลย

You're right. I think it's going to rain later
Ni kweli. Nadhani mvua itanyesha baadaye
คุณพูดถูกฉันคิดว่าฝนจะตกในภายหลัง

In the middle of the summer, it shouldn't be raining
Katikati ya majira ya joto, sidhani kama mvua itanyesha
ในช่วงกลางฤดูร้อนฝนไม่ควรตก

That wouldn't seem right
Hiyo haionekani kuwa sawa
ใช่มันไม่ถูกเลย

Considering that it's over ninety degrees outside, that would be weird.
Kwa kuzingatia kuwa ni zaidi ya digrii tisini nje, mvua hiyo itakuwa ya kushangaza
คิดดูว่าข้างนอกมันเป็นเก้าสิบองศานั่นแปลกมาก

Exactly, it wouldn't be nice if it started raining. It's too hot.
Kabisa, haitakuwa mvua nzuri ikiwa ingeanza kunyesha. Kuna joto sana
แน่นอนมันคงไม่ดีถ้าฝนตกมันร้อนเกินไป

I know, you're absolutely right.
Najua, uko sawa kabisa.
ผมว่ามันจริงอย่างที่คุณพูด

I wish it would cool off one day.
Natamani ingekuwa siku yenye hali ya hewa nzuri.
ฉันหวังว่ามันจะเย็นสักวันหนึ่ง

That's how I feel, I want winter to come soon.
Ndiyo jinsi ninavyohisi, nataka msimu wa baridi uje hivi karibuni.
นั่นแหละที่ผมรู้สึกผมอยากให้ถึงหน้าหนาวเร็ว ๆ

I enjoy the winter, but it really gets cold sometimes.
Ninafurahiya msimu wa baridi, lakini wakati mwingine huwa baridi sana
ฉันสนุกกับฤดูหนาว แต่บางครั้งมันก็หนาวมาก

I know what you mean but I'd rather be cold than hot.
Najua unachomaanisha lakini ni bora msimu wa baridi kuliko wa joto.
ผมรู้ว่าคุณรู้สึกอย่างไร แต่ผมก็ชอบเย็น ๆ มากกว่าร้อน

That's exactly how I feel
Kabisa, Ndivyo haswa ninavyohisi
ฉันก็รู้สึกแบบนั้นเลย

Loading comments...