"It's An Ugly Day Today" in English, Swahili, and Thai | Weather Conversation

3 years ago
4

It's an ugly day today.
Ni siku mbaya leo.
วันนี้เป็นวันที่ไม่ดีเลย

I know. I think it may rain.
Najua. Nadhani kunaweza kunyesha.
ฉันรู้ฉันคิดว่ามันอาจจะมีฝนตก

It's the middle of summer, it shouldn't rain today.
Ni katikati ya majira ya joto, haipaswi kunyesha leo.
กลางฤดูร้อนขนาดนี้ ไม่น่าจะมีฝนตกเลย

That would be weird.
Hiyo itakuwa ya ajabu.
มันจะแปลกมากเลย

Yeah, especially it's ninety degrees outside.
Ndio, ukilinganisha nje ni digrii tisini.
ใช่ โดยเฉพาะข้างนอกมันเก้าสิบองศา

Yeah, it would be horrible if it rained and it was hot outside.
Ndiyo, ingekuwa vibaya ikiwa kunanyesha halafu kuna joto nje.
ฉันรู้ว่ามันน่ากลัวถ้าฝนตกและข้างนอกร้อน

Yes, it would be.
Ndio
ใช่เลย

I really wish it wasn't so hot every day.
Natamani kabisa isiwe joto sana kila siku.
ฉันหวังว่ามันจะไม่ร้อนทุกวัน

Me too. I can't wait until winter.
Mimi pia. Siwezi kusubiri hadi msimu wa baridi.
ผมอยากให้ถึงหน้าหนาวเร็ว ๆ

I like winter too, but sometimes it gets too cold.
Napenda msimu wa baridi pia, lakini wakati mwingine huwa baridi sana.
ฉันก็ชอบหน้าหนาวเหมือนกัน แต่บางครั้งมันก็หนาวเกินไป

I'd rather be cold than hot.
Afadhali ingekuwa baridi kuliko joto.
ผมชอบอากาศเย็นมากกว่าร้อน

Me too.
Mimi pia.
ฉันด้วย

#TheNeighbourhood #SweaterWeather #YanetGarcia

Loading comments...