"Football Time" in English, Swahili, and Thai | School Conversation

3 years ago
4

Hello Miss Cora. What's the time?
Habari Mwalimu Cora. Sasa hivi ni Saa ngapi?
สวัสดีโครานี่กี่โมงแล้ว?

It's three o'clock
Ni saa tatu
บ่ายสามแล้ว

It's football time now. let me go.
Ni wakati wa mpira wa miguu sasa. Nafikiri naweza kwenda.
ถึงเวลาฟุตบอลแล้วฉันไปได้ไหม?

Ok Levi. You can go.
Sawa Levi. Unaweza kwenda.
โอเคลีวายส์คุณไปได้

Loading comments...