Luxury Gym in Thailand | Healthy Workouts With Fabulous Outdoor Swimming Pool | Three Languages

3 years ago
59

Published on Jun 7, 2021

Habari. Hii ni gym mojawapo ipo maeneo ya Thailand sehemu ya Nong Bun Mak.
Hello. This is one of the gym located in Thailand part of Nong Bun Mak.
สวัสดีครับ นี่คือยิมที่ตั้งอยู่ในประเทศไทย หนองบุญมาก โคราช

Hii location inaitwa Richmon Sport Club. Karibu mtazamaji kwenye channel yangu ya EST Speak! Entertainment.
This location is called Richmon Sport Club. Welcome the viewer to my EST Speak! Entertainment.
ริชม่อน สปอร์ต คลับ!! ขอต้อนรับผู้ชมกับช่องของเรา EST Speak! Entertainment!!

Ah ukihitaji videos zaidi za namna hii utaenda kwenye channel inayoitwa EST Speak! Travel
Ah if you need more videos like this you will go to a channel called EST Speak! Travel
อ้าา ถ้าคุณผู้ชมต้องการดูวิดีโอแบบนี้ ไปติดตามอีกช่องของผมได้นะ EST Speak! Travel

Ok so kwa sasa tunaingia ndani gym nitakuonyesha vitu gani ambavyo wanavyo katika hii gym.
Ok so now we are going into the gym I will show you what things they have in this gym.
โอดครับ เรากำลังเข้าไปข้างในยิม ผมจะให้ดูสิ่งที่เขามี

Kama unavyoona unaingia hii sehemu. Kwa chini kuna mgahawa ambao hujafunguliwa ila hivi karibuni watafungua.
As you can see you are entering this section. Below is a restaurant that has not yet opened but will soon open.
อย่างที่คุณเห็น กำลังเข้ามาในส่วนนี้ ด้านล่างเป็นร้านอาหารที่ยังไม่ได้เปิดแต่กำลังจะเปิด

Ok ukienda horofa ya kwanza ndipo kuna gym yenyewe, ngoja nikuonyeshe jinsi inavyoonekana
Ok if you go to the first floor then there is the gym itself, let me show you what it looks like
ถ้าคุณไปชั้นแรก ชั้นนั้นจะเป็นยิม เดี๋ยวผมจะให้คุณดูว่ามันเป็นแบบไหน

Kuna watu baadhi ndani na hizi ndo machines ambazo wanazo katika gym kama ukiona kutoka kule
There are some people in there and these are the machines that they have in the gym if you see from there
มีบางคนอยู่ในนั้น และนี่คือเครื่องออกกำลังกายที่ริชม่อนมีในยิม ตามนี้เลยครับ

Ah unaona zile machines zakukimbia, na zile za baiskeli
Ah you see the running machines, and the bicycle ones
คุณผู้ชมจะเห็นลู่วิ่งไฟฟ้า และนั่นก็จักรยาน

Kwa upande huu unaweza ukawa
In this case you can be
ในกรณีนี้คุณสามารถ

Ah ukiwa kama umechoka unaweza kukaa na ukanywa maji, ukala
Ah if you are tired you can sit and drink water, eat
ถ้าคุณผู้ชมเหนื่อยแล้ว ก็นั่งตรงนี้ ดื่มน้ำ กินขนม

Hii ni sehemu ya kuweka viatu
This is the place fo putting your shoes
นี่เป็นที่วางรองเท้า

Machines upande wa Kushoto, unaona machines hizi za ah weight, machines nyinginezo
Machines on the Left, you see these ah weight machines, other machines
นั่นทางซ้าย มีเครื่องชั่งน้ำหนัก และก็ตามนี้

Ok ni kipindi ambacho wamefungua hivi karibuni kwa hiyo ngoja nikupeleke kwenye sehemu ya kubadilishia
Ok it's a period they've just opened so let me take you to the exchange section
ประมาณนี้ เขาเพิ่งจะเปิด งั้นผมจะพาคุณไปดูเลย

Hivi ni lockers ambazo inaitwa makabati ya kuweka nguo zako na vitu mbalimbali
These are lockers that are called lockers for storing your clothes and various items
ล็อกเกอร์เหล่านี้ ที่ใช้สำหรับการจัดเก็บเสื้อผ้าและของต่าง ๆ ของคุณ

Ah ok ukiingia kwenye sehemu ya kubadilisha kama unavyoona kuna sink, kuna sehemu ambao unaweza ukakaa uka relax kuna vyoo kama unavyoona
Ah ok if you go into the changing area as you see there is a sink, there is a place where you can sit and relax there are toilets as you see
ครับ ถ้าคุณผู้ชมเดินเข้าไปข้างในห้องเปลี่ยนเสื้อผ้า จะเห็นอ่าง มีที่ให้นั่งพัก ละก็มีห้องน้ำแบบที่เห็น

Ah kuna sehemu ya kuoga baada ya kufanya mazoezi kwa mwanaume na Mwanamke
Ah there is a place for bathing after exercising for both man and Woman
อ่าผู้ชายกับผู้หญิงมีที่อาบน้ำหลังจากออกกำลังกาย

Yeah , kwa hiyo ni sehemu nzuri sana, angalia jinsi ilivyo
Yeah, so that's a very good place, see how it is
เป็นที่ที่ดีมาก ดูสิครับ

Kuna heater pale, kuna shower, kuna ventilation
There is a heater there, there is a shower, there is ventilation
มีเครื่องทำความร้อน มีห้องอาบน้ำฝักบัว มีการระบายอากาศ

Ok ok usisahau ku subscribe kwenye channel yangu na unaweza ku share na marafiki zako
Ok ok don't forget to subscribe to my channel and you can share it with your friends
อย่าลืมติดตาม และคุณสามารถแบ่งปันกับเพื่อนของคุณ

Ok ah tuonane kwenye video nyingine ambayo nitakupa ah story mbalimbali za apa Thailand
Ok ah see you in another video that I will give you ah various stories here in Thailand
แล้วพบกันใหม่ในวิดีโอหน้าที่จะเล่าเรื่องราวต่างๆ ให้คุณฟังที่นี่ ที่เมืองไทย

Loading comments...