"What's Your Favorite Color?" in English, Swahili, and Thai | Self Introduction Conversation

3 years ago
3

Hello
Hujambo
สวัสดี

Hi
Sijambo
สวัสดี

What's your name?
Jina lako ni nani?
คุณชื่ออะไร?

I'm Alice
Ninaitwa Alice
ฉันชื่ออลิ

How old are you?
Una miaka mingapi?
คุณอายุเท่าไหร่?

I'm 18 years old
Nina umri wa miaka 18
ฉันอายุ 18 ปี

When's your birthday?
Tarehe yako ya kuzaliwa ni lini?
คุณเกิดวันที่เท่าไหร่?

It's on the 03 rd of June
Ni tarehe 03 Juni
วันที่ 03 มิถุนายน

Where are you from?
Unatoka nchi ipi?
คุณมาจากไหน?

I'm from Thailand
Natoka Thailand
ฉันมาจากประเทศไทย

What are your interests?
Unapenda Kufanya Nini?
คุณให้ความสนใจในเรื่องอะไร?

My interests are reading and learning
Ninapenda kusoma na kujifunza
ความสนใจของฉันคือการอ่านและการเรียนรู้

What's your favorite color?
Unapenda rangi gani?
สีโปรดของคุณคือสีอะไร?

It's Purple
Zambarau
สีม่วงค่ะ

Loading comments...