Ndg.Sawaya mtaalamu wa Misitu na Mabadiliko ya Tabia nchi kutoka FAO ofisi ya Tanzania:

5 months ago
17

Ndg.Sawaya mtaalamu wa misitu na mabadiliko ya tabia nchi kutoka katika shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO ofisi ya Tanzania akiwa nyumbani na shambani kwa Mzee Shamba Kubwa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro.

Loading comments...