ALIYO YAZUNGUMZA DR.GABRIEL KUTOKA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WALIPO MTEMBELEA MFUGAJI.

6 months ago
32

Dr. Gabriel aliambatana na timu ya wataalamu kutoka shirika la chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO ofisi ya Tanzania, kumtembelea mfugaji wa ng'ombe ajulikanae kwa jina la Mzee Shamba kubewa kutoka Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro.

Loading comments...