MWANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA "NITASIMAMA KIDETE KUTETEA HAKI ZA WATOTO WAKIKE":

5 months ago
113

Mwanafunzi wa kike anae soma kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Mwamagembe iliopo halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, amesema atasimama kidete kuwatetea watoto wakike juu ya kupata haki zao kwa kuzungumza na wazazi na jamii katika kijiji chao.

AAmesema hayo wakati wamahojiano maalumu tulioyafanya shuleni kwao.

Loading comments...