MRADI WA AGRI-CONNECT WA FAO KUBORESHA LISHE ZA WATOTO TANZANIA:
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) liliamua kufanya kitu kikubwa nchini Tanzania kwa siku ya Chakula Duniani.
Walitaka kuleta mabadiliko katika maisha ya watoto na historia isio futika kwenye maisha na familia zao kwa kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa lishe bora. FAO iligundua kuwa njia bora ya kufanya hivyo ilikuwa kuanzisha programu ya kufundisha watoto mapishi ya vyakula vyenye lishe.
Kwa ushirikiano wa serikali ya Tanzania na wadau wengine wa maendeleo, FAO ilianza kutekeleza wazo hili la kipekee. Kupitia miradi yake mbali mbali ambayo hutekelezwa nchini Tanzania ilinayo husika na kilimo pamoja na masuala ya lishe kama vile mradi wa AGRI-CONNECT unao tekelezwa katika mikoa ya Tanzan ia bara na Zanzibar, unao husisha shule za msingi.
Stella Kimambo ni afisa lishe kutoka Fao Tanzania, kupitia siku ya chakula duniani ambayo ilifanyika kitaifa Mkoani Kigoma anaeleza umuhimu wa vyakula vya protini kwa familia na hasa kwa
watoto.
-
57:03
Candace Show Podcast
5 hours agoBreaking! Kamala Family Friend Confirms Race Hoax | Candace Ep 85
150K579 -
16:53
Misha Petrov
2 hours agoDISASTER For Kamala After FOX News Interview FAILURE!
17.3K13 -
LIVE
Quite Frankly
7 hours ago"Reading Barry's Lips & What do the Gamblers Know?" 10/17/24
1,900 watching -
56:58
The Nima Yamini Show
8 hours agoOwen Benjamin X Nima Yamini
17.9K11 -
1:24:16
Battleground with Sean Parnell
6 hours agoTrain Wreck Kamala is Imploding
144K34 -
1:33:57
The Quartering
8 hours agoKamala Harris Just Lost The Election, Dr. Disrespect New Home, Asmongold Fallout & Donald Trump Wins
96.9K38 -
57:46
Chrissie Mayr
7 hours agoLive Chrissie Mayr Podcast with Mark Christopher Lee
87.2K12 -
2:04:02
Mally_Mouse
8 hours agoLet's Play!! Super Mario Party Jamboree
58.6K2 -
2:11:31
Revenge of the Cis
6 hours agoEpisode 1392: Grandma's Boys
56.7K13 -
1:09:10
TheMonicaCrowleyPodcast
6 hours agoThe Monica Crowley Podcast: What Kamala's Meltdown Reveals About the System
62.5K13