MOROGORO STATION: ABIRIA WAZIDI KUMIMINIKA, Tanzania 🇹🇿

7 months ago
79

Mkurungenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa ameeleza kuwa Treni ya #SGR haijaja kuchukua nafasi ya treni ya zamani, wala safari za mabasi na kuwaonya wale wanaotaka kuhujumu mradi.

Loading comments...