DON SANTO & EL KLASSIK BAND - NISHIKILIE (OFFICIAL KALPOP LYRICS VIDEO)

1 year ago
7

"Uniponye, Ee Bwana, nami nitaponyeka; uniokoe, nami nitaokoka; kwa maana wewe ndiwe uliye sifa zangu." - Yeremia 17:14

Song: #Nishikilie
Album: #CalvaryTheEP
Genre: Kalpop Gospel
Performed by: #DONSANTO & #ElKlassikBand
Written & arranged by: @BlameItOnDon
Camera operator: Lord Wizoh
Directed by: @BlameItOnDon
BVGs: El Klassik Band
Mixed & mastered by: Jilly Beatz
Instrumentation: El Klassik Band (Klassik Nation)
Executive Producer: @BlameItOnDon
Record Label: @KlassikNation

Shot on SGR from Mombasa to Nairobi, Kenya.

LYRICS;

AYA YA KWANZA
Nishike mkono na utembee na Mimi
Hapa ndipo mahali ulipotakiwa kuwa
Nimekuona ukiwa na huzuni
Nimekuona ukiwa na maumivu
Kutafuta popote kupata chochote
Ulimwengu ni giza na hakuna kitu cha haki
Nimekutazama ukilia umekata tamaa
Toka Kiti cha Enzi nimekuona u mpweke
Lakini nimekuja kwako kukukamilisha

CHORUS
||: Nishikilie… Baba
Kamwe nisizame… Yahweh. :||

AYA YA PILI
Chukua mkono Wangu na ushike vizuri
Sasa na milele yote utaona ni nyepesi
Hakuna huzuni tena hakuna maumivu
Chukua mkono wangu, kwa maana
Huu ni upendo wa kweli kwa umilele
Toka Kiti cha Enzi nimekuona u mpweke
Lakini nimekuja kwako kukukamilisha

CHORUS
||: Nishikilie… Baba
Kamwe nisizame… Yahweh. :||
_______________________
LISTEN TO DON SANTO
✅Spotify : https://t.co/pdyK5JkSh8
✅Boomplay: https://t.co/8wjPVhiTh4
✅YouTube: https://t.co/etKLb3Npnd
✅Audiomack: https://t.co/VUlBsiVoE8
✅iTunes: https://t.co/57EViemJhf
✅Soundcloud: https://soundcloud.com/donsantomusic
✅Deezer: https://www.deezer.com/us/artist/5825...

CONNECT WITH DON SANTO ONLINE;
Facebook: https://www.facebook.com/KingDonSanto/
Instagram: https://www.instagram.com/KingDonSanto /
Twitter: https://twitter.com/KingDonSanto
Tik Tok: https://vm.tiktok.com/ZMJSUXDEm/

Loading comments...