A Lost Button in #English, #Swahili #Thai | กระดุมที่หายไป | Daily Life Conversation @kelvinminja

1 year ago
9

A button came off my shirt.
Kifungo kimetoka kwenye shati langu.
กระดุมหลุดออกจากเสื้อของฉัน

What are you going to do?
Utafanya nini?
คุณจะทำอะไร?

First, I have to find the button.
Kwanza, lazima nikitafute kifungo.
อันดับแรก ฉันต้องหากระดุมให้เจอ

Where did you lose it?
Umekipotezea wapi?
คุณทำมันหายที่ไหน?

I have no idea.
Sifahamu
ไม่รู้เลย

A button is hard to find. Did you look in your pant cuffs?
Kutafuta kifungo ni vigumu. Je, ulitazama kwenye pindo la suruali yako?
กระดุมนั้นหายาก คุณดูกางเกงในของคุณหรือไม่?

That's a good idea.
Hilo ni wazo zuri.
เป็นความคิดที่ดี

I found a button in my pant cuffs one time.
Nilipata kifungo kwenye pindo za suruali mara moja.
ฉันพบกระดุมที่ข้อมือกางเกงครั้งหนึ่ง

Let me look. No, it's not there.
Acha niangalie. Hapana, haipo.
ให้ฉันดู ไม่มันไม่ได้อยู่ที่นั่น

Many shirts come with an extra button.
Mashati mengi huja na kifungo cha ziada.
เสื้อเชิ้ตหลายตัวมีกระดุมเสริม

You're right. This one does have an extra button.
Uko sahihi. Hili Shati lina kitufe cha ziada.
คุณพูดถูก อันนี้มีกระดุมพิเศษ

Now all you have to do is sew it on.
Sasa unachotakiwa kufanya ni kushona.
ตอนนี้ที่คุณต้องทำคือเย็บต่อ

@LearnEnglishWithTVSeries @Thai @swahiliacademy

#khabylame #learning #language #lisa

Loading comments...