DARASA LA FOREX TRADING | SMFU

1 year ago
9

Smart Money Forex University inakualika kwenye darasa la kipekee la Forex Trading kupitia Zoom Meeting kuanzia tarehe 1 hadi 31 Agosti 2023. Jifunze msingi wa Forex, uchambuzi wa masoko, mikakati, na kutambua fursa za biashara. Masomo ni kila siku saa 3 hadi 5 usiku.

Kwa maelezo zaidi kuhusu darasa hili tafadhali piga namba hii 0624-585-151
kuongea na mkufunzi (Mwalimu) mwenyewe.

Smart Money Forex University, Trade Smarter, Not Harder!

#Forex #Trading #Business

Loading comments...