NJIA RAHISI ZAIDI YA KUANZA KUJIAMINI

1 year ago

Live via https://onestream.live

Kuna mwanafunzi kaniuliza swali kwamba anawezaje kujiamini na yeye ameshajaribu kufanya njia mbalimbali lakini hapati matokeo yoyote. Basi karibu sana ufuatilie kwa ukaribu katika somo hili nikitoa njia moja ya uhakika sana katika kujenga ujasiri na kujiamini.

#ujasiri #kujiani #njia

Loading comments...