Miraj Abdillah. Ushirikiano baina ya Viongozi wa kike na mashirika ya kinamama Pwani

1 year ago
26

Mtume Muhammad (S.A.W) anasema "anzillunnÇŽsa manazilahÅ­maa"; Wapeni watu Darja zao...
Ushirikiano baina ya Viongozi wa kike na mashirika ya kinamama Pwani
1. Utaboresha matokeo ya Elimu Pwani.
2. Utasaidia kupata zabuni katika taasisi mbalimbali Pwani.
3. Utaleta mbinu mbadala kukabiliana na hali hatari ya usalama na magenge.
#MamaHaki

Loading comments...