MAMBO 3 YA KUZINGATIA UNAPOINGIA 2023 | Ezden Jumanne

1 year ago
81

Mahusiano yoyote mazuri hujengwa na mawasiliano mazuri na kama eneo hili utaliweka sawa basi inaweza kuwa rahisi sana kwako kufanikiwa kwani fursa nyingi ziko kwa watu, kwahiyo ni ule wepesi wako katika kujichanganya na wengine katika jamii ndio utakuwa mwamuzi wa nafasi gani unaweza kukaa katika jamii husika.

Ungana Ezden Jumanne katiika ufafanuzi zaidi wa mambo matatu muhimu ya kuzingatia unapokwenda kuanza mwaka 2023.
.
Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana.
.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATS'APP LA SUCCESS PATH NETWORK:
Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
LINK👉🏽 https://chat.whatsapp.com/JxOUqZBdf35...

1) Kwenye group utapata masomo ya kila wiki.
2) Kuwa wa kwanza kuona video zetu kabla ya kupanda kwenye youtube.
3) Kila Jumapili nina fanya session ya maswali na majibu. Utapata nafasi ya kuuliza chochote kule na nitakujibu.
4) Kukiwa na fursa yoyote nitaanza kuiweka katika group hilo kwanza.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent | Content Entreprenuer | Speaker
Instagram: http://instagram.com/ezdenjumanne
Twitter: http://twitter.com/ezdenjumanne
Facebook: http://facebook.com/ezdenjumanne
Whats'App: http://wa.me/255759191076
.
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:

HAMASA YA LEO👇🏽
http://youtube.com/hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
https://www.youtube.com/channel/UCOfv...
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
https://tinyurl.com/matangazo
.
MATANGAZO YA BIASHARA:
- Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
- Unahitaji tangazo au Voice-over (English & Swahili).
SIMU: (+255) 759 191 076
WHATS'APP: http://wa.me/255759191076
EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
.
.
#Mambo #Muhimu #2023

Loading comments...