"My Laptop Is So Slow"in English, Swahili & Thai | แล็ปท็อปของฉันช้าเกินไป | Daily life Conversation

2 years ago
3

Check out the items on shopee platform by clicking the link below
https://shopee.co.th/kminja?smtt=0.0.9

Check out my NFT on Opensea platform by clicking the link below
https://opensea.io/Kel__

My laptop is so slow.
kompyuta yangu ya mkononi ipo polepole sana.
แล็ปท็อปของฉันช้าเกินไป

Buy a new one.
Nunua mpya.
ซื้อใหม่สิ

I would if I had the money.
Ningenunua kama ningekuwa na pesa.
ฉันคงจะซื้ออยู่หรอก ถ้าฉันมีเงิน

Why is it so slow?
Kwa nini ipo polepole sana?
แล้วทำไมมันถึงช้านักล่ะ

That's a good question.
Hilo ni swali zuri.
เป็นคำถามที่ดี

Did you take it to a computer shop?
Je, uliipeleka kwenye duka la kompyuta?
คุณนำมันไปที่ร้านคอมพิวเตอร์รึยัง

I would if I had the money.
Ningeipeleka kama ningekuwa na pesa.
ฉันคงจะไปถ้าฉันมีเงิน

Well, I guess you have to live with it.
Naam, nadhani unapaswa kuishi nayo.
ฉันคิดว่าคุณต้องอยู่กับมัน

Sometimes I want to throw it out the window.
Wakati mwingine nataka kuitupa nje ya dirisha.
บางครั้งฉันก็อยากจะโยนมันออกไปนอกหน้าต่าง

You don't want to do that.
Hutaki kufanya hivyo.
คุณคงไม่อยากทำแบบนั้นหรอก

Why not?
Kwa nini isiwe hivyo?
ทำไมล่ะ

You might hit someone in the head.
Unaweza kumpiga mtu kichwani.
คุณคงจะทำหัวใครสักคนแตก

Loading comments...