JE UNAWEZA KUWA WAKALA KUUZA KITABU HIKI?

2 years ago
3

JE UNAWEZA KUWA WAKALA KUUZA KITABU HIKI?

Je, unaweza kuwa wakala wa vitabu, popote ulipo ndani na nje ya tanzania?
.
Basi changamkia fursa hii, tunahitaji mawakala wa kusambaza kitabu cha KANUNI 20 ZA FEDHA kilichoandikwa na Victor Mwambene.
.
Utapata nafasi ya kutengeneza comission ya kuanzia shilingi 5,000 kwa kila kitabu kama faida.
.
Unachotakiwa kufanya ni kutuma neno "WAKALA" kwa ujumbe wa kawaida au whatsapp kwa namba 0744-12-66-40
Wahi mapema mapema fursa hii.
.
.
#wakala #vitabu #kitabu

Loading comments...