JALI THAMANI YAKO NA WENGINE PIA | Ezden Jumanne

2 years ago
44

Majuto ni mjukuu kwenye maisha na majuto makubwa zaidi ni yale yanayotokana na kutojua thamani yako au kutumia muda wako mwingi vibaya katika vitu visivyokupendeza au kuutumia muda wako na watu wasiokupa furaha katika maisha yako. Sasa kuna watu wengi sana ni wahanga wa jambo hili, ungana na Ezden Jumanne akichambua kwa undani namna ambavyo unaweza kusimama vizuri na kurekebisha makosa kwenye maisha yako.
.
Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
SPONSOR: MY SHOP TANZANIA
WEB: http://myshop.co.tz
INSTA: http://instagram.com/myshop_tz
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent/ Content Entreprenuer
Instagram: @ezdenjumanne
Twitter: @ezdenjumanne
Facebook: Ezden Jumanne
Phone: (+255)759 191 076
Website: http://tinyurl.com/voiceovertanzania
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
http://youtube.com/hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
https://www.youtube.com/channel/UCOfv...
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
http://tinyurl.com/matangazo
.
.
#jali #thamani #yako

Loading comments...