Wakenya wahadaiwa kuhusu kazi mataifa ya Thailand na Malaysia

2 years ago

Visa vya Wakenya kuteswa katika mataifa ya uarabuni vimezua taharuki nchini na kushinikiza baadhi ya wakenya kuelekea bara asia kutafuta ajira. Lakini sasa imebainika kuwa baadhi ya nafasi hizo za ajira ni ulaghai wa kuwatumbukiza wakenya kwenye uhalifu w amitandaoni, ufuska na ulanguzi wa viungo vya mwili wa binadamu.

Loading comments...