"Nimekuja hapa kufanya kazi yangu siyo kupata upendo" ni maneno ya Pascal Serge Wawa

2 years ago
10

#SingidaBigDay : "Nimekuja hapa kufanya kazi yangu siyo kupata upendo" ni maneno ya Mchezaji wa Singida Big Stars, Pascal Serge Wawa akizungumzia mipango yake katika timu yake hiyo mpya.

#AzamSports1HD #AzamSports2HD #SingidaBigDay2022 #SokaLetuBamBam

Loading comments...