Tazama takwimu na udambwidambwi wa mechi za Ligi Kuu kati ya Simba SC na Yanga SC

2 years ago
4

KUELEKEA DERBY YA KARIAKOO: Tazama takwimu na udambwidambwi wa mechi za Ligi Kuu kati ya Simba SC na Yanga SC, kuanzia Aprili 30, 2014, mpaka mechi yao ya mwisho ya Aprili 30, 2022.

Subiri rekodi mpya hapo Agosti 13, 2022 kwenye mtanange wa #NgaoYaJamii LIVE #AzamSports1HD

#NgaoYaJamii #RekodiMpya #SimbaVsYanga #YangaVsSimba

Loading comments...