Karim Mandonga akikanusha juu ya sauti iliyosambaa akiongea na simu

2 years ago
5

"Sauti siyo yangu" ni Karim Mandonga akikanusha juu ya sauti iliyosambaa akiongea na simu mara baada tu ya pambano lake na Shaban Kaoneka.

Mandonga amefanya mahojiano na Azam TV kupitia kipindi cha #Viwanjani kinachoruka kupitia #AzamSports1HD mapema asubuhi ya leo.

#Viwanjani #Mandonga #AzamSports1HD

Loading comments...