MORRISON NDANI YA AVIC: Nyota mpya wa Yanga SC, Bernard Morrison alivyotua katika uwanja wa mazoezi

2 years ago

MORRISON NDANI YA AVIC: Tazama nyota mpya wa Yanga SC, Bernard Morrison alivyotua katika uwanja wa mazoezi Avic Town Kigamboni na kupokewa na shangwe la mashabiki wa timu hiyo.

Timu ya #AzamTV ikiongozwa na @hasheem_ibwe na @sebo255 wamekita kambi viunga vya Avic

#MorrisonNdaniYaAvic #BM3 #KambiYaYanga
@bm3gh

Loading comments...