MBINU KUMPATA AZIZ KI: "Haijatumika pesa nyingi kumpata Aziz Ki"

2 years ago
11

MBINU KUMPATA AZIZ KI: "Haijatumika pesa nyingi kumpata Aziz Ki" sehemu ya maneno ya Rais wa Yanga SC, Hersi Said akifunguka namna walivyomnyakua Stephane Aziz Ki kutokea Asec Mimosas.

Hersi pia ameutaja mchango wa Yacouba Songne kwenye kupatikana nyota huyo.

#AzizKi #UsajiliAzizKi #YangaSC #azamsports1hd

Loading comments...