SELEMANI KIDUNDA Yupo tayari kumuua KATOMPA

2 years ago
1

KIKI SONGEA: Bondia Mtanzania, Selemani Kidunda amefunguka namna alivyojiandaa mpinzani wake Tshimanga Katompa ambaye atapambana nae Julai 30, katika ardhi ya nyumbani kwao Songea

Shughuli itaanza saa 12:00 jioni LIVE #AzamSports1HD

#PayBackNight #UsikuWaKisasi #KikiSongea #VitasaSongea #Vitasa #VitasaNight #UsikuWaVitasa #KidundaSongea #selemanikidunda
#vitasanight #kiduku #azamsports1hd

Loading comments...