Usajili wa Simba sc "Dunia inakwenda kutikisika"

2 years ago
3

"Dunia inakwenda kutikisika" - Ni Afisa Habari wa Simba, Ahmed Ally, akisema wanatarajia kutambulisha mchezaji wa Kimataifa siku ya kesho Jumatano majira ya 7:00 mchana, atakayetikisa dunia.

#SimbaUsajili #Kimataifa #AhmedAlly #AzamSports1HD

Loading comments...