KAGERA SUGAR imetimuwa wachezaji wake 9 wa kikosi cha kwanza

2 years ago
2

KAGERA SUGAR: Uongozi wa Kagera Sugar wasema kikosi chao kitakuwa imara zaidi msimu ujao licha ya kuachana na wachezaji tisa wa maana akiwemo Hassan Mwaterema na Nassoro Kapama aliyetambulishwa leo Simba SC.

Afisa Habari wa timu hiyo, Khamis Mazanzara anafafanua zaidi huku akitetea uwepo wa Hamis Kizza klabuni hapo.

Loading comments...