AISHI MANULA amsifia kipa wa Yanga Diarra kwenye TUZO za TFF

2 years ago
3

#NBCTFFAWARDS2022 Golikipa wa Simba, Aishi Manula anasema malengo kwa sasa ni kuwania tuzo za Kimataifa nje ya Tanzania, amzungumzia golikipa wa Yanga, Djigui Diarra, aimwagia sifa Yanga ya msimu huu wa 2021/22, aweka wazi kuhusu hatma yake Msimbazi.

Ni katika usiku wa tuzo za TFF unaoendelea muda huu LIVE #AzamSports2HD

#TuzoZaTFF #TFFAwards #TFFAwards2022 #UsikuWatuzo #NBCTFFAwards2022 #TuzoZaNBCTFF #Tuzo #TFF #Awards2022 #UsikuWaMastaaWaSoka

Loading comments...