PERFECT HAT-TRICK toka kwa Sopu

2 years ago
1

PERFECT HAT-TRICK : Tunapozungumzia mchezaji pekee aliyefunga #hattrick kwenye mchezo wa fainali nchini Tanzania, tunamzungumzia Abdul Hamis Suleiman Sopu ambaye leo ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Azam FC.

Je, wewe unamkumbuka nani aliyewahi kufunga hat-trick kwenye fainali nje ya Tanzania?

Haya hapa magoli yake yote matatu aliyomtungua 'Mdaka Mishale', 'Screen Protector', Djigui Diara kwenye fainalli ya ASFC dhidi ya Coastal Union, Julai 2, 2022.

Hii ilikuwa ni 'Perfect hat-trick', akifunga goli moja kwa mguu wa kushoto, moja kwa mguu wa kulia na lingine kwa kichwa: Hebu tuyatazame yote halafu tuseme ni lipi kali zaidi kati ya haya.

Ni kwa mara ya kwanza Diarra anaruhusu magoli matatu kwenye mechi moja tangu atue Tanzania.

#Usajili #Sopu #AzamFC #AbdulSopu #ASFC #ASFCFinal #Fainali #FainaliASFC #AzamSportsFederationCup #KombeLaShirikishoLaAzamSports #CoastalUnion #YangaSC #YangaCoastal

Loading comments...