KASSIM DEWJI: Simba haijagawanyika.

2 years ago
11

"Simba haijagawanyika ila imetofautiana kimawazo" maneno ya Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Kassim Dewji akizungumzia baadhi ya changamoto zinazomfanya asishiriki maamuzi ya bodi hiyo.

Unaweza kutazama mahojiano kamili kupitia channel yetu ya Youtube ijulikanayo kama Azam TV.

#AzamTV #AzamSports1HD #SimbaSC #KassimDewji

Loading comments...