SIMBA vs PAMBA(ASFC):Goli la 2 kutoka kwa Kibu ambaye amefunga goli katika mechi 4 mfululizo.

2 years ago
1

#ASFC Goli la pili kwa Simba kutoka kwa Kibu Denis ambaye sasa amefunga goli katika mechi nne mfululizo za kimashindano kwa Simba.

85’: Simba 3-0 Pamba (Banda 45’, Kibu 48’, Mhilu 53’)

Loading comments...