Francis Baraza anasema amekuwa ‘akiwasoma’ Azam FC kupitia mechi zake zinazorudiwa kwenye TV

2 years ago

Kocha wa Kagera Sugar, Francis Baraza anasema amekuwa ‘akiwasoma’ Azam FC kupitia mechi zake zinazorudiwa kwenye TV, na malengo yao ni kumaliza ligi wakiwa kwenye tano bora.

FT: Kagera Sugar 1-0 Azam FC

#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KageraSugar #AzamFC #KageraAzam

Loading comments...