PANYA ROAD kusakwa kila kona

2 years ago
2

Wakazi wa eneo la Mtaa wa Miko Kunduchi jijini Dar es Salaam waliokumbwa na kadhia ya kuvamiwa na Panya Road, ikiwa ni siku saba tangu wakazi wa Chanika jijini humo kuvamiwa na kundi hilo, wamesimulia jinsi tukio hilo lilivyotokea.

#AzamTVUpdates #PanyaRoad #PanyaRoadDar

Loading comments...