AZAM FC wafanya mazoezi gizani uwanja wa Kaitaba

2 years ago
1

Azam FC yafanya mazoezi 'gizani' kwenye dimba la Kaitaba mjini Bukoba, wakijiandaa kuwakabili Kagera Sugar kwenye mchezo wa kesho unaotarajiwa kucheza kuanzia saa 1:00 usiku.

Kocha wa Azam FC, Abdihamid Moallin anaeleza alichokutana nacho na alichokifanya kuelekea mechi hiyo.

#NBCPremierLeague #NBCPLUpdates #AzamFC #KaitabaStadium #kaitaba #AzamGizani

Loading comments...