Yanga afungwe mechi nne, halafu Simba ashinde zote....

2 years ago
4

“Yanga afungwe mechi nne, halafu Simba ashinde zote” – Je, ubingwa wa ligi kuu msimu huu inawezekana?

Hapa wahariri wanajadili nafasi ya Simba kutwaa ubingwa msimu huu lakini wanagusia pia ‘undava’ uliotawala #KariakooDerby ya jana.

FT: Yanga 0-0 Simba

#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KariakooDerby #YangaSimba #YangaVsSimba #YangaSC #SimbaSC #WataniWaJadi #Derby

Loading comments...