Wachezaji wa zamani wa SIMBA na YANGA watambiana kuelekea Derby yao

2 years ago
1

DERBY YA KARIAKOO: Yasikie yasemwayo na Dua Said, Stephano Mwasika na Mwanamtwa Kihwelo ambao ni wachezaji wa zamani wa ‘kabumbu’ Tanzania kuelekea mechi ya Yanga dhidi ya Simba SC hapo Jumamosi Aprili 30.

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KariakooDerby #YangaSimba #YangaVsSimba #YangaSC #SimbaSC #WataniWaJadi

Loading comments...